Home / habari kwa picha
/ # HABARI DR. SLAA AFUNGUKA (ALIYOONGEA
LIVE)
Dr. katika hoteli ya Serena akiwa na walinzi wake
7, amefika na kuamua kuweka kila kitu wazi
kuhusu ukimya wake. Soma hapo chini
alichozungumza
Slaa: Kila mtu ana kiu ya kusikia Dr Slaa
anasema nini, sijawahi kuona waandishi wengi
hivi
Slaa: Wengi mnafahamu sina tabia ya
kuyumbishwa, ninasimami a lile ninaloamini,
ijulikane kama binadamu sina chuki na mtu
Slaa: Mimi sikuwa likizo kama mlivyoambiwa na
wengine. Nimeamua kuachana na siasa tarehe
28 Julai 2015 saa 3 usiku.
Naomba ijulikane kuwa nilishiriki majadiliano ya
awali juu ya ujio wa Lowassa ndani ya
CHADEMA, ila sikuafiki ujio wake.
Slaa: Mchakato ndani ya CHADEMA ulianza
mapema na jina langu lilipitishwa lakini bado
sikuitangaza popote.
Slaa: Suala la Msingi ni kuangalia kama ni ASSET
au LIABILITY, ASSET kwa maana kwamba
anakuja na watu wangapi kwenye chama
Slaa: Tuliambia anakuja na wabunge
wanaomaliza muda wao zaidi ya 50 na viongozi
wengine toka CCM.
Slaa: Siku zikapita sikupewa majina ya wabunge
hao, wenyeviti wa CCM mikoa wala makatibu
wakuu.
Slaa: Upotoshwaji kwamba Dr Slaa alikubali toka
mwanzo si kweli naomba viongozi wangu
waseme kweli.
Slaa: Kamati kuu tumekaa toka saa 9 hadi 12:30
kikao kikavunjika, ikasemwa iundwe kamati
ndogo kunishawishi, nikakataa.
Slaa: Niliandika barua ya kujizuru ndani ya
kamati kuu kwa mwenyekiti wakati huo akiwa
Profesa Safari, ambaye aliichana.
Slaa: Mimi mwanasiasa niliyozoea naamini siasa
ni sayansi haitaki uongo, haitaki udanganyifu.
Slaa: Maamuzi yaliyofanywa, yalifanywa na mimi
kwa ridhaa yangu mwenyewe.
Slaa: Sisi katika familia yetu tumezoea
propaganda hizo, nishasema kama mna ushahidi
muulete
Slaa: Nataka niwahakikishie D. Slaa na watoto
wake wameendelea kula mihogo kama
tulivyoahidi maana pesa imesaidia watanzania
Slaa:Ni lazima mwanasiasa yoyote duniani hataji
jina linachafuliwe, hata Dr Slaa hataki jina lake
lichafuliwe ni haki yangu.
Slaa: Jambo ambalo nataka nifafanue ni suala
zima la LIABILITY au ASSET, ASSET nimelieleza,
wamekuwa waongo hawakutekeleza
Slaa: Mtu ambaye hata mwezi mmoja haujapita
tangu useme CCM ikimteua Lowassa atajitoa, leo
anasema ni msafi.
Slaa: Wenyeviti waliokuja CHADEMA wote toka
CCM ni mzigo, makapi.
Slaa: CHADEMA inachukua mtu kwa sifa ya wizi
wa kura, kama hatutaki kuiba kura sisi tunaenda
kufanya
Slaa: Suala la ASSET sikupata majibu, ndio
maana hadi leo viongozi wangu wamepata
kigugumizi, naongelea kwanini nimeondoka.
Slaa: Mimi padri , yaani nikubali kuweka mkataba
na shetani kwaajili ya kuiondoa CCM? unaondoa
CCM kwa 'progamu series
Slaa: Watu waliikubali CHADEMA kwaajili ya
misingi ya uadilifu, leo tuna unadilifu?
Slaa: Duniani kote tuhuma zinatolewa na ni
jukumu la serikali kutoa majibu. Kama watu
hawajui siasa bora wakae kimya.
Slaa: CCM siwezi kuwahurumia, hata Lowassa
hapa alipofika ni kwakuwa CCM ilimlea.
Slaa: Kama ukikuta choo cha kitanzania,
ukapakua kilichoko ndani ya choo na kuweka
chumbani kwako, ipi ni choo?
Slaa: Mimi nilikuwepo 2008 wakati tunajadili
RICHMOND tunapozungumza masuala hayo ni
kwakuwa tunayajua na tuliyaishi Bungeni
Slaa: Lowassa tunamtuhumu mengi , mimi
simtuhumu kwa RICHMOND tu, 2010 mimi
nilimwambia atumbie hadharani RICHMOND ya
nani
Slaa: Ni afadhali nipotee kwenye siasa Tanzania
na duniani kote kuliko kuyumbishwa na
misimamo yangu.
Slaa: Mimi nimeletewa rushwa asubuhi,
nikamuuliza aliyeleta kama mimi unanipa milioni
500 unazo ngapi?
Slaa: Mwanzo wa RICHMOND lazima urudi
kwanza kwenye taarifa ya baraza la mawaziri
februari, 2006.
Slaa: Naomba mtambue kwamba suala hili la
RICHMOND halikuanzia kwa Kikwete bali lilianzia
kwa Mkapa.
Slaa: 2006 feb 10, Waziri mkuu alikuwa Lowassa,
sasa leo unapokuja kunambia hakuhusika
maanake nini?
Slaa: Ripoti ya Mwakyembe alitoa option mbili,
Waziri Mkuu ajipime au Bunge lijadili na kutoa
uamuzi, akakimbilia kujiuzulu.
Slaa: Lowassa dakika ya mwisho aliingilia,
hakusaini yeye ila aliagiza personal assistance
wake akasaini.
Slaa: Watu wanauliza kwanini namsema Lowassa
mwenyewe ni kwakuwa anagombea urais wa
nchi.
Slaa: Nendeni basi Monduli kwa Lowassa na
Karatu mlinganishe wakati nikiwa mbunge, halafu
tuone huyu mnayemuita mtendaji.
Slaa: Mnasema habari za shule ya kata, hizi sio
zao lake ni upotoshwaji, aseme alibuni wapi wazo
hili.
Slaa: Ugomvi wangu na Masha ni kwasababu
nilitoka hadharani na kusema Masha umeingilia
mchakato wa serikali, nikawa adui.
Slaa: Wakaandika uongo kuwa RICHMOND ni
kampuni ya stationary wala sio umeme
Slaa: Waziri Mkuu anajua yote halafu
ananyamaza, kama alikuwa hajui ni mzembe,
kama ni mzembe hafai tena kuwa Rais wa nchi.
Slaa: Kumbuka Tanesco ni chombo
kinachojitegemea, ikaagizwa kusaini mkataba
ambao haikujadili, maanake ni nini?
Slaa: CHADEMA tumaini jipya lilijengekea, vijana
wanaliamini ninaogopa, kwa masikitiko ninasema
sitaki baadaye tufike pabaya
Slaa: Kama CHADEMA leo inafika hatua ya
kujaza uwanjani watu kwa mabasi halafu
mnasema kuna mafuriko,siko tayari kuwa zezeta
Slaa: Udanganyifu huu wa kujaza watu kwa
kubebwa na magari kuja uwanjani wakajaza
uwanja walikuwa nao CCM
Slaa: Nimewasikia CHADEMA jangwani,
waliyoongea ni sehemu kubwa ya ilani ambayo
ilishaandaliwa zamani, hakuna kipya.
Slaa: Kinachoniumiza ni sisi kuwa wabovu zaidi
ya CCM.
Slaa: Nataka Lowassa ajue kuwa tunajua,
Scotland inatuandikia kuwa achunguzwe kwa
paundi milioni 400 alizopeleka marekani.
Slaa: Halafu wanasema nikizungumza eti
nitaharibu sifa yangu, wacha iharibike.
Slaa: Mimi nimefundishwa kukemea maovu.
Slaa: Leo anakuja mtu hapa anatuambia
nyamazeni? Mimi sitaki kuingia kwenye mambo
ya akina babu seya.
Slaa: Leo baadhi ya vyuo vinatumia kesi ya babu
seya kufundishia kama kesi ya ulawiti halafu
lowaasa anasema ataifuta
Slaa: Nani aliyeagiza maaskari waingie na mbwa
pale mwembe chai msikitini? Sumaye huyu huyu
aliagiza.
Slaa: Lowassa akili yake ipimwe, kesi ya ulawiti
Rais hapaswi kuingilia, anaingilia uhuru wa
mahakama
Slaa: Ni afadhali kutokuwa na Rais wa aina hii,
Rais ambaye anatumia udanganyifu kwakuwa
watu hawajasoma hafai.
Slaa: Waswahili wanasema ukiumwa na nyoka
basi hata jani ulikimbie, inabidi tuhakikishe
kwamba tunakuwa makini
Slaa: Alipokuwa Waziri Mkuu haya matatizo
yanayotokea leo hayakutokea?
laa: Mtu aliyesababisha migogoro ya mipaka
halafu leo anataka kuwa Rais?
Slaa: Wapo watakaosema ameichana CHADEMA,
ameijenga CCM. Ukweli haugawanyiki, kama
yameitandika CHADEMA ndio ukweli ulivyo
Slaa: Nimesema sina chama ila mimi ni
mtanzania, nitawatumikia watanzania kwa vipawa
alivyonipa Mwenyezi Mungu.
Slaa: Nimeombwa kugombea urais kwenye
vyama vitano ila nimekataa kwakuwa mimi
siamini katika kuhama hama vyama.
Slaa: Mshenga niliyemtaja, alisema kanisa la
kilutheri lote linamuunga mkono Lowassa, na
maaskofu wa katoliki 30 wamehongwa
Slaa: Sitaenda chama chochote, nimesema sina
chama, siasa kwa maana ya chama sina, ila
siasa kwa ninayoamini.
Slaa: Sijaja kufanya kampeni leo, nimekuja
kuwakumbusha Watanzania wasije wakajuta
kama ambavyo tunajuta kwa kosa tulilofanya
2005 na 2010.
# HABARI DR. SLAA AFUNGUKA (ALIYOONGEA

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 maoni:
Chapisha Maoni