NGODAZ

moto moto news

Ufafanuzi wa Kuhusu Rais Magufuli Kuvaa Mavazi ya Kijeshi

January 22, 2016 akiwa njiani Kutoka Arusha Mjini kwenda Monduli kufunga "Zoezi Onesha Uwezo Medani"
lililofanywa na Jeshi la wananchi Tanzania (JWTZ), Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania na Amir Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli
alisimamishwa na wananchi waliojipanga kandokando mwa barabara mara
nane.

Rais Magufuli alivaa sare za kijeshi tayari kwa kwenda
kufanya kazi za Jeshi la wananchi Tanzania ikiwa ni halali kufanya hivyo
kwa mujibu wa Sheria ya Jeshi la wananchi ya mwaka 1966.

Msemaji wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) Kanali Ngemela Lubinga ametoa ufafanuzi wa Rais Magufuli kuvaa sare hizo




==>Tazama Video Hii Kumsikiliza
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Chapisha Maoni