NGODAZ

moto moto news

Bunge: Hatutazuia Tv Binafsi Kurusha Live Matangazo ya Bunge

Wakati Bunge likieleza kuwa haliwezi kuzuia vituo vya televisheni nchini kuonyesha moja kwa moja matangazo ya shughuli za vikao vya B...
Read More

January Makamba Atetea Uchaguzi Wa Marudio Zanzibar.......Asema Watakaoleta Vurugu Damu Za Wazanzibar Zitawalilia

Serikali  imesema uamuzi wa kurudia uchaguzi wa urais Zanzibar ni halali na wa kisheria na kwamba wanaotafuta suluhu nje ya Katiba, w...
Read More

Jifunze Kutengeneza Pipi Za Kihindi ,uongeze Kipato Chako.

  ==> Wewe  ni  kijana  wa  kitanzania ?  ==> Unataka  kuongeza  kipato  chako ? Kama  jibu  lako  ni NDIO  basi   hii  ni ...
Read More

Benard Membe Azidi Kumkaba Rais Magufuli.....Asema Rais Anawafukuza Watumishi Kiurahisi Kwa Kuwa Hakuwateua Yeye

Wiki hii ilikuwa wiki ambayo waziri wa zamani wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe ameeleza mengi yaliyoteka vich...
Read More

Mrembo wa UDSM Aliyedaiwa kuwa Msukule Uliokutwa Kwenye Shimo la Mfanyabiashara Dar Anena kwa Uchungu

Picha zinazomuonesha mwanamke aliyekutwa kwenye shimo la mfanyabiashara mmoja jijini Dar es Salaam akiwa katika hali ya kutisha zimet...
Read More

Jokate na Ali Kiba Wamwagana

Mastaa wawili wenye majina makubwa Bongo ambao walikuwa wachumba walioshibana, Jokate Urban Mwegelo ‘Kidoti’ na Ali Saleh Kiba ‘King K...
Read More

Ufafanuzi wa Kuhusu Rais Magufuli Kuvaa Mavazi ya Kijeshi

January 2 2 , 2016 akiwa njiani Kutoka Arusha Mjini kwenda Monduli kufunga "Zoezi Onesha Uwezo Medani" lililofanywa na Jeshi la...
Read More

Lowassa Apata Mapokezi Makabuwa Dakawa Wakati Akiwa Njiani Kuelekea Dodoma

Aliyekuwa mgombea Urais  katika uchaguzi wa Oktoba mwaka jana kwa tiketi  ya  UKAWA, Edward Lowassa jana alipata mapokezi makubwa kwa wa...
Read More