NGODAZ

moto moto news

Serikali Yatoa Picha Rasmi ya Rais wa Awamu ya Tano, Dkt John Pombe MagufuliSERIKALI YATOA PICHA RASMI YA RAIS



Picha
Rasmi ya Rais wa Jamhuri ya  Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John
Pombe Joseph Magufuli itaanza kuuzwa Januari 08, 2015, katika Ofisi za
Idara ya Habari (MAELEZO) Mtaa wa Samora.
Kila
nakala ya picha hiyo itauzwa shilingi Elfu Kumi na Tano tu bila fremu. 
Picha ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere itauzwa shilingi Elfu
Tano tu.  Aidha, Picha hizo zitauzwa katika Ofisi za Wakala wa Huduma ya
Ununuzi Serikalini (GPSA).


 


Picha
hizo zinatakiwa kutundikwa katika ofisi zote za Serikali, Taasisi za
Umma, Mashirika na Ofisi binafsi.  Kila ofisi inatakiwa iwe na picha ya
Mhe. Rais pamoja na Baba wa Taifa.
Serikali
inatoa onyo kwa wale wote wanaosambaza  picha isiyo rasmi pamoja na
Serikali kutoa taarifa kusitisha matumizi ya picha hiyo na
wanaotengeneza picha ukubwa ambao siyo rasmi.




Hatua za kisheria  zitachukuliwa dhidi yao.  Idara ya Habari(MAELEZO) ndio yenye Haki miliki ya picha hiyo.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Chapisha Maoni