Baraza
la mitiani NECTA limetangaza Matokeo ya kidato cha 2 kwa wanafunzi
waliofanya mtihani mwaka jana ambapo wanafunzi 324,068 sawa na 89% kati
ya wanafunzi 363,666 waliofanya mtihani wamefaulu kuendelea na kidato
cha tatu.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 maoni:
Chapisha Maoni