NGODAZ

moto moto news

[Audio] Wastara Azungumzia Alivyoinadi CCM na nyumba Zake Kuwekewa Alama "X" Wastara Afunguka Mazito kuhusu Nyumba zake mbili kubomolewa



Wastara Juma ni mmoja wa wasanii maarufu wa filamu nchini Tanzania.


Katika
audio inayosikika kwenye video iliyopachikwa hapo chini, anazungumzia
anazungumzia kuhusu nyumba zake kuwekwa alama ya "X" kwa ajili ya
kubomolewa, huku akigusia kujitoa kwake kufanya kampeni ya kukinadi
Chama Cha Mapinduzi kiasi cha kuugua.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Chapisha Maoni