https://www.blogger.com/blogger.g?blogID=6339571037022758021#editor/target=post;postID=5871059204858342810
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Mawasiliano na Uchukuzi
wa Botswana, Bw. Tshenolo Mabeo baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege
wa kimataifa wa Sir Seretse Khama uliopo Gaborone Januari 17, 2016.
Majaliwa amemwakilisha Rais John Magufuli katika Mkutano wa SADC.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Katibu Mtendaji wa SADC,Dkt,
Srergomena Tax mjini Gaborone ambako Mheshimiwa Majaliwa anamwakilisha
Rais John Magufuli kwenye mkutano wa SADC Januari 17, 2016. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 maoni:
Chapisha Maoni